Iran yaweka vifaa vya kuchuja maji ya chumvi mkoani al-Hasakah ya Syria

Kiswahili Radio 46 views
Mkoa wa Al-Hasakah kaskazini mashariki mwa Syria unakabiliwa na uhaba wa maji safi kutokana na vikwazo unavyowekewa na serikali ya Uturuki

Uturuki imezuia maji safi kuwafikia watu wa Syria wa mkoa wa al-Hasakah. Bunge la Syria limelaani hatua ya serikali ya Uturuki  ya kukata maji ya al-Hasakah na imetaka kukomeshwa.

Add Comments